Savanis bookshop Savanis Bookshop

  • Home
  • Blog
  • Departments
    • Computer Science and Engineering
    • Civil Engineering
    • Machanical engineering
    • EEE
    • BBA
    • Literature
    • Others
    • Text book centre buy now
    • Uncategorized
    • Manga Books
  • Books
  • Login

Ondoka nikae. jibu Maji ya mfereji

Enter kitendawili



Related vitendawili na majibu yake
  • Haina miguu wala mikono, lakini, yabeba magogo. jibu Maji
  • Ukimcheka atakucheka, ukimwomba atakuomba. jibu Mwangwi
  • Nyumba yangu kubwa, haina mlango. jibu Yai
  • Palikuwepo watu watatu wakivuka mto. Mmoja alivuka pasipo kukanyaga maji wala kuyaona; wa pili aliyaona maji lakini alivuka bila kuyakanyaga; wa tatu aliyaona na kuyakanyaga alipovuka. Ni nani hawa? jibu Was kwanza in Mtoto tumboni mwa mamake, was pili ni Mtoto aliyebebwa mgongoni, was tatu ni mama mwenyewe
  • Kwenye msitu mkubwa Napata mti mmoja tu, lakini kwenye msitu mdogo naweza kupata miwili. jibu Watoto wa ng'ombe na mbuzi
  • Nikipewa chakula nala bali natema. jibu Shoka
  • Kombe ya Sultani Ii wazi. jibu Kisima
  • Kiti cha Sulatni hukaliwa na mwenyewe. jibu Kuku aatamiapo mayai
  • Anakula lakini hajashiba na hatashiba milele. jibu Ardhi
  • Ule usile mamoja. jibu Kifo

Book Shop Online

This is a online books market place, it allows you to sell & buy your favourite books. You can also find here different types of e-books, which you can download for free.

Company

  • Buy Books
  • Sell your books
  • Terms and conditions
  • FAQ

Invest

  • Browse listing

Resources

  • Knowledge Hub
  • Blog
  • FAQ

© 2025. All Rights Reserved.

  • Privacy policy
  • Terms of service