Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Alipita mtu ana bunda la mshale. jibu Mkindu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nikitembea walio wafu huniamkia na walio hai hukaa kimya. jibu Majani makavu na mabichi
Haina miguu wala mikono, lakini, yabeba magogo. jibu Maji
Ninachimba mizizi ya mti usio na mizizi. jibu Jiwe
Nina ng’ombe wangu nisipomshika mkia hali majani. jibu Jembe
Tengeneza kiwanja kikubwa kabila Fulani lije kupigania. jibu Mbono
Nilimkata alafu nikamridhia. jibu Kupanda mbegu
Nyumba yangu kubwa hutembelewa mgongoni. jibu Konokono
Huna macho lakini wakamata wanyama. jibu Ndoana
Huku kutamu, huku kutamu, katikati uchungu. jibu Jua
Hausimiki hausimami. jibu Mkufu