Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kikioza hutumiwa, kikiwa kichungu hakitumiwa. jibu Maziwa
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mlima wa mwenyewe hupandwa na mwenyewe. jibu Buibui na utando wake
Watoto wangu wana vilemba, asio kilemba si mwanangu. jibu Fuu
Hesabu haihesabiki. jibu Nyota
Anakula lakini hajashiba na hatashiba milele. jibu Ardhi
Nikija kwenye ndege wananifukuza, na nikienda kwenye wanyama hawanitaki. jibu Popo
Jiwe litoalo maji. jibu Macho
Nyanya yako ana huruma kukubeba ulalapo. jibu Kitanda
Wanameza watu jua linapokuchwa. jibu Nyumba
Chatembea na hakijapata kupumzika hata nukta moja. jibu Mwezi/Jua
Wanakuja mmoja mmoja na kujiunga kuwa kitu kimoja. jibu Matone ya mvua