Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Wanameza watu jua linapokuchwa. jibu Nyumba
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Wanastarehe darini. jibu Panya
Wanangu wawili hugombana mchana, usiku hupatana. jibu Mlango
Hasimamishwi akiwa na ghadhabu. jibu Upepo
Ng’ombe za babu zinalala na mkia nje. jibu Viazi vitamu udongoni
Nyama ndogo imewashibisha wengi wala isiishe. jibu Kinoo
Mdogo lakini humaliza gogo. jibu Mchwa
Cheupe chavunjika manjano yatokea. jibu Yai
Nikitupa mshale wangu mchana huenda mbali sana, lakini niutupao usiku hauendi mbali. jibu Jicho
Kunguru akilia hulilia mirambo. jibu Mtoto akililia maziwa
Hasemi, na akisema hatasahaulika. jibu Kalamu