Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Akivaa nguo hapendezi, akiwa uchi apendeza. jibu Mgomba
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Natembea juu ya miiba lakini sichomwi. jibu Ulimi
Wanao wakati wao wa kuringa, nao ni weupe kama barafu. jibu Nyota
Ninacho, nakitumia, lakini kila nikitumiapo, sikiharibu ila nakipa rangi. jibu Maji na mkojo
Ndege wengi baharini. jibu Nyota
Haoni kinyaa. jibu Mvua
Bak bandika, bak bandua. jibu Nyayo
Ng’ombe wangu wote hunywa maji isipokuwa mmoja. jibu Fimbo ya kuchunga
Upande wote umjiao atakuona. jibu Kinyonga
Mfalme katikati lakini watumishi pembeni. jibu Moto na mafiga
Dada yangu akitoka kwao harudi kamwe. jibu Jani likwanyukapo