Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Akitokea watu wote humwona. jibu Jua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Nikicheka kinacheka, nikinuna kinanuna. jibu Kioo
Amekula ncha mbili. jibu Wali
Likitoka halirudi. jibu Neno
Nina ng’ombe wangu nisipomshika mkia hali majani. jibu Jembe
Nimejenga nyumba babu akaihamia kabla mimi sijahamia. jibu Mjusi
Nimemtuma mtu kumwamkua mtu, yeye amekuja, Yule aliyetumwa hajaja. jibu Kuangua tunda Ana nazi
Nikija kwenye ndege wananifukuza, na nikienda kwenye wanyama hawanitaki. jibu Popo
Kila linapofika kwetu hutanguliza makelele. jibu Mvua
Shangazi yangu ni mrefu sana lakini hafikii tumbo la kondoo. jibu Njia