Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Ndugu wawili wafanana sana, lakini hawatembeleani. jibu Macho
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Hauchagui chifu wala jumbe. jibu Utelezi
Tulikaribishwa mahali na mdogo wangu, yeye akaanza kushiba kabla yangu. jibu Kucha
Amefunua jicho jekundu. jibu Jua
Nyumba yangu kubwa, haina mlango. jibu Yai
Wanangu wawili hugombana mchana, usiku hupatana. jibu Mlango
Nimekata mti, akaja samba mwekundu akaukalia. jibu Utomvu
Njoo hapa nije hapo. jibu Kiraka
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
Ndege wengi baharini. jibu Nyota
Ninachimba mizizi ya mti usio na mizizi. jibu Jiwe