Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Taa ya Mwarabu inapepea. jibu Kilemba
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Atolewapo nje hufa. jibu Samaki
Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi
Natembea juu ya miiba lakini sichomwi. jibu Ulimi
Nilipokuwa mchanga nilikuwa na kijikia lakini sasa sinacho. jibu Chura
Nikija kwenye ndege wananifukuza, na nikienda kwenye wanyama hawanitaki. jibu Popo
Kondoo za mtoto zamaliza mavuno. jibu Jiwe la kusagia
La mgambo limelia wakatoka weusi tu. jibu Chunguchungu
Po pote niendako anifuata. jibu Kivuli
Nikimwita hunijibu nani. jibu Mwangwi
Mhuni wa ulimwengu. jibu Inzi