Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nilipokuwa mchanga nilikuwa na kijikia lakini sasa sinacho. jibu Chura
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Wanatembea lakini hawatembelewi. jibu Macho
Tonge la ugali lanifikisha pwani. jibu Jicho
Nimempandikiza mti wangu ukapeleka matawi ng’ambo ya mto. jibu Kivuli
Rafiki yangu ana mguu mmoja. jibu Uyoga
Hakionekani wala hakishikiki. jibu Hewa
Tumvike mwanamke huyu nguo. jibu Kuezeka nyumba
Humu mwetu tuko wanne tu, ukimwona wa tano mwue. jibu Matendegu ya kitanda
Atolewapo nje hufa. jibu Samaki
Huku unasikia ‘pa’ Huku unasikia ‘pa! jibu Mkia wa kondoo
Hasimamishwi akiwa na ghadhabu. jibu Upepo