Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nilipofika msituni nilikuta chungu cha pure kinachemka. jibu Mzinga wa nyuki
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kila mtu hata mfalme huheshimu akipita. jibu Mlango
Nilipigwa na tonge la ugali la moto nilipopita msituni. jibu Manyigu
Chungu change cha udongo hakipasuki kikianguka. jibu Mjusi/Panya
Pete ya mfalme ina tundu katikati. jibu Kata ya kuchukulia mizigo
Hakuchi wala hakuchwi. jibu Kula
Nikicheka kinacheka, nikinuna kinanuna. jibu Kioo
Taa ya Mwarabu inapepea. jibu Kilemba
Hausimiki hausimami. jibu Mkufu
Chang’aa chapendeza, lakini hakifikiwi. jibu Jua
Mchana ‘ti’ usiku ‘ti’. jibu Mlango