Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nilipoangalia kwenye magereza ya Wazungu, nikaona wameketi juu ya mabati. jibu Pelele
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Sijui afanyavyo. jibu Nyoka apandavyo mtini
Ng’ombe za babu zinalala na mkia nje. jibu Viazi vitamu udongoni
Mtoto asemea pangoni. jibu Ulimi mdomoni
Ziwa kubwa, lakini naogelea ukingoni tu. jibu Moto
Nakikimbilia lakini sikikuti. jibu Njia
Askari wangu wote wamevaa kofia upande. jibu Majani
Natembea juu ya miiba lakini hainichomi. jibu Miiba
Wako karibu lakini hawasalimiani. jibu Nyumba ama kuta zinazoelekeana
Mhuni wa ulimwengu. jibu Inzi
Hachelewi wala hakosei safari zake. jibu Jua