Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Amchukuapo hamrudishi. jibu Kaburi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mwepesi, lakini aweza kuvunja nyumba za mji wote. jibu Tufani
Tuliua ng’ombe na babu, kila ajaye hukata. jibu Kinoo
Hakionekani wala hakishikiki. jibu Hewa
Wanakuja mmoja mmoja na kujiunga kuwa kitu kimoja. jibu Matone ya mvua
Nina nyumba yangu imezungukwa na mifupa. jibu Mdomo
Ukitaka kufahamu ana mbio, mwonyeshe moto. jibu Kinyonga
Kwetu mishale na kwenu mishale. jibu Mikia ya panya
Kama kingekuwa mkuki, ungekuta kimekwisha kuua wote. jibu Kizingiti cha mlango
Nina watoto wangu hamsini na wote nimewavisha visibau vyeupe. jibu Kunguru
Nyumba yangu kubwa, haina mlango. jibu Yai