Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Mbona mwakunjiana ngumi bila kupigana? jibu Mafiga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nilimtuma askari vitani akaniletea kondoo mweusi. jibu Fuko
Drrrrrh1 Ng’ambo. jibu Daraja la buibui
Nyanya yako ana huruma kukubeba ulalapo. jibu Kitanda
Anakula lakini hashibi. jibu Mauti
Hulala tulalapo, huamka tuamkapo. jibu Jua
Nimetoka kutembea kutembea, nikashika ng’ombe mkia. jibu Kata
Mfalme katikati lakini watumishi pembeni. jibu Moto na mafiga
Chungu kikubwa sana chenye kifuniko kikubwa sana. jibu Dunia na mbingu
Ng’ombe za babu zinalala na mkia nje. jibu Viazi vitamu udongoni
Mlima wa mwenyewe hupandwa na mwenyewe. jibu Buibui na utando wake