Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Dada yangu kaoga nusu. jibu Jiwe mtoni
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kina mikono na uso lakini hakina uhai. jibu Saa
Nilitembea na mwezangu naye hupita vichakani. jibu Kivuli
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
Nikiwaambia ondokeni hukataa, lakini mjomba akitokea wote hukimbia. jibu Umande na jua
Utahesabu mchana na usiku na hutamaliza kuhesabu. jibu Nywele
Halemewi wala hachoki kubeba. jibu Ardhi
Kapanda mti pamoja na uchawi wake. jibu Tumbaku inaponuswa puani
Subiri kidogo! jibu Miiba
Ninao mlima ambao una msitu kileleleni tu. jibu Kichwa
Askari wangu wote wamevaa mavazi meusi. jibu Chunguchungu