Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Afahamu kuchora lakini hajui achoracho. jibu Konokono
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Tunajengajenga matiti juu. jibu Mapapai
Poopoo mbili zavuka mto. jibu Macho
Cha ndani hakitoki nje, cha nje hakiingii ndani. jibu Nyama na mfupa
Baba ameweka mkuki nje nikashindwa kuukwea, mdogo wangu akaukwea. jibu Sisimizi
Ng’ombe za babu zikienda machungani hulia, zikirudi hazilii. jibu Vbuyu
Kila mtu atapitia malango huo. jibu Kifo
Tatu tatu mpaka pwani. jibu Mafiga
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Wanastarehe darini. jibu Panya
Huku kutamu, huku kutamu, katikati uchungu. jibu Jua