Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Watoto wangu wote nimewavika kofia nyekundu. jibu Jogoo
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kila mtu atapitia malango huo. jibu Kifo
Amekula ncha mbili. jibu Wali
Shamba langu miti mitano tu. jibu Mkono wa vidole
Nilipokuwa mchanga nilikuwa na kijikia lakini sasa sinacho. jibu Chura
Amefunua jicho jekundu. jibu Jua
Huzikwa mmoja, hufufuka mmoja, huzeeka wengi. jibu Mbegu na matunda
Kiwanja kizuri lakini hakifai kuweka mguu. jibu Kipara
Cheupe chavunjika manjano yatokea. jibu Yai
Tajiri aniweka mfukoni na maskini anitupa. jibu Makamasi
Ng’ombe za babu zinalala na mkia nje. jibu Viazi vitamu udongoni