Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nimekwenda na rafiki yangu kwa jirani, yeye akafika kabla yangu. jibu Sauti ya nziga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mwanamke mfupi hupiga kelele njiani. jibu Kunguru
Ajifungua na kujifunika. jibu Mwavuli
Nilipigwa na tonge la ugali la moto nilipopita msituni. jibu Manyigu
Huwezi kukalia alipokalia msichana wangu mweusi. jibu Chungu jikoni
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Nikipewa chakula nala bali natema. jibu Shoka
Mvua kidogo ng’ombe kaoga kichwa. jibu Jiwe
Chungu change cha udongo hakipasuki kikianguka. jibu Mjusi/Panya
Nimemwacha mzee kikongwe mtoni anangojea mgeni kulaki. jibu Mtego
Hutoka upesi sana lakini hasalimu. jibu Kuku