Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Mzee Kombe akitoa machozi wote hufurahi. jibu Mvua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kitu changu asubuhi chatembea kwa miguu mine, saa sita kwa miguu miwili, jioni kwa miguu mitatu. jibu Maisha ya binadamu
Hesabu haihesabiki. jibu Nyota
Ajenga ingawa hana mikono. jibu Ndege
Natengeneza mafuta lakini nimepauka sana. jibu Mzinga wa nyuki kwa nje
Likienda hulia, likirudi halilii. jibu Debe aka buyu
Sultani alipiga mbiu watu waje kufanya kazi yake lakini wakashindwa. jibu Maji
Mlima wa kwetu hupandwa na mfalme. jibu Nafasi kati ya mdomo na pua ya ngombe
Bibi yake hutandikwa kila siku, lakini hatoro. jibu Moyo/Kinu cha kutwangia
Hamwogopi mtu yeyote. jibu Njaa
Mwepesi, lakini aweza kuvunja nyumba za mji wote. jibu Tufani