Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kuku wangu aliangua mayai jana, lakini si kuku wala ndege. jibu Nyoka au samaki
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Huzikwa mmoja, hufufuka mmoja, huzeeka wengi. jibu Mbegu na matunda
Watoto wa mtu mmoja hulala chini kila mwaka. jibu Maboga
Likienda hulia, likirudi halilii. jibu Debe aka buyu
Kondoo wangu mnene kachafua njia nzima. jibu Konokono
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
Yaenda mbali lakini haiondoki ilipo. jibu Njia
Nguo ivaliwayo kila siku isiyoingiwa na chawa. jibu Nyusi
Nyama ya Reale haijai kikombe. jibu Mkufu
Nina mwezi ndani ya bakuli. jibu Maziwa
Nikimwita hunijibu nani. jibu Mwangwi