Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Watoto wangu wote wamebeba vifurushi. jibu Vitovu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ruka Riba. jibu Maiti
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Nimefyeka mitende yote kiungani isipokuwa minazi miwili tu. jibu Masikio
Kisima cha Bimpai kina nyoka muwai, ndiye fisadi wa maji. jibu Taa ya utambi
Kiti cha Sulatni hukaliwa na mwenyewe. jibu Kuku aatamiapo mayai
Zilitazamana na mpaka sasa hazijakutana. jibu Kingo za mto
Anakula kila siku lakini hashibi na hatashiba. jibu Mchanga
Rafiki yangu ana mguu mmoja. jibu Uyoga
Anatoka kutembea, anakuja nyumbani anamwambia mama, ‘Nieleke’. jibu Kitanda
Amekula ncha mbili. jibu Wali