Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nilijenga nyumba yangu nikaiacha bila kuiezeka majani; lakini niliporudi nilikuta imekwisha ezekwa majani. jibu Mahindi machanga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Huwafanya watu wote walie. jibu Moshi
Kinaniita lakini sikioni. jibu Mwangwi
Kiwanja kizuri lakini hakifai kuweka mguu. jibu Kipara
Napigwa na mvua na nyumba ipo. jibu Matunda ya pua/Kwapa
Fuko kajifukia, mkia kaacha nje. jibu Kata mtungini
Mchana ‘ti’ usiku ‘ti’. jibu Mlango
Cha ndani hakitoki nje, cha nje hakiingii ndani. jibu Nyama na mfupa
Kuku wetu hutagia mayai mikiani. jibu Matunda
Nikipewa chakula nala bali natema. jibu Shoka
Kisima kidogo kimejaa changarawe. jibu Kinywa na meno