Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kuna mlima mmoja usio pandika. jibu Nafasi kati mdomo na pua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Wanakuja mmoja mmoja na kujiunga kuwa kitu kimoja. jibu Matone ya mvua
Kunguru akilia hulilia mirambo. jibu Mtoto akililia maziwa
Ashona mikeka wala hailali. jibu Maboga
Nikija kwenye ndege wananifukuza, na nikienda kwenye wanyama hawanitaki. jibu Popo
Nakupa lakini mbona huachi kudai. jibu Tumbo
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Kila mtu atapitia malango huo. jibu Kifo
Ni kitu gani ambacho kutoa ni kuongeza? jibu Shimo
Subiri kidogo! jibu Miiba
Wanao wakati wao wa kuringa, nao ni weupe kama barafu. jibu Nyota