Mayai Waziri wa Maradhi By Wamitilia

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Mayai Waziri wa Maradhi By Wamitilia Details


Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine ni diwani inayojumlisha hadithi fupi zinazoakisi hall halisi katika jamii za Afrika Mashariki. Ni hadithi ambazo zinamfanya msomaji akereke na kuungulika kwa kuiona dhiki, unafiki na uovu uliotamalaki katika matendo ya waja. Ni hadithi zinazofichua uozo na uovu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii; hadithi zinazokemea matendo yasiyokuwa na uadilifu na zinazofichua uthori na ubaya ahasi ulioshamiri katika jamii zetu. Hadithi hizi ni kioo halisi cha kututazamisha jamii na kutufanya tutafakari kuihusu hatima ya jamii yenyewe. Ni chocheo kubwa la fikira litakaloya- chokonoa mawazo ya wasomaji. Diwani hii ni mchango aali kwenye utanzu huu muhimu.

ISBN: 9966882974 SKU: 2010143000053