Zawadi ya ajabu By Zawadi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Zawadi ya ajabu By Zawadi Details


Zawadi ya Ajabu ni hadithi inayozindua msururu na Uaminifu'. Hii ni hadithi inayolenga kukuza maadili ya kusema ukweli na kuwa mwaminifu. Baraka na Zawadi ni watoto walio na matamanio ya kuzuru maeneo mbalimbali ulimwenguni, kununua bidhaa za thamani na kuwanunulia wazazi, marafiki na walimu wao tuzo za thamani. Wanaokota kitita cha pesa. Je, watafanya nini?

ISBN: 9789966788900 SKU: 2010143000709