Jurawa na Ndovu na Hadithi Nyingine 7B By Wasike

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Jurawa na Ndovu na Hadithi Nyingine 7B By Wasike Details


Hadithi zilizopo katika mkusanyiko huu zimesimuliwa kwa mtindo wenye mvuto kwa watoto ili kutia makali fikira zao. Mwandishi amezipa hadithi hizi sura na mtazamo wa kiafrika iii kutoa mafunzo na maadili muhimu kwa msomaji. Ni hadithi zinazostahili kwa watoto na watu wazima katika kujenga lugha, maadili, burudani na ufahamu wa miondoko na kunga za maisha kwa jumla.   

ISBN: 2010143000480 SKU: 2010143000480