Uzuri wa Mkakasi By Nyariki

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Uzuri wa Mkakasi By Nyariki Details


"Hata hivyo kwa Kimazile, mambo yalimnyokea asubuhi ile. Mzee yule hakumwuliza maswali mengi wala kumrukia kwa meno ya juu. Alizitazama bangili tatu za dhahabu kwenye dhiraa ya mkono wa kiume wa Kimazile na kutikisa kichwa. Naam, aliona pesa. Wakati wale wavulana wengine hawakuwa na be wala te ..." Je, sifa nyofu na za kutamanika zilizodhihirishwa na Kimazile zitadumu milele? Soma upate uhondo kamili. Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza. Kitabu hiki kimependekezwa kwa madarasa ya juu katika shule za msingi.    ISBN: 9966228969 SKU: 2010143000736