Bungabunga na Mwanawe na Hadithi Nyingine By Michell

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Bungabunga na Mwanawe na Hadithi Nyingine By Michell Details


Katika hiki Kitabu cha Bungabunga na mwanawe, mna hadithi fupi fupi ambazo zitaangazia wanafunzi mengi kuhusu lugha ya Kiswahili. Hiki kitabu kimetungwa kusaidia mwanafunzi kujifunza Kiswahili katika hali ya kujiburudisha. Kuna mengi ya kujifunza toka lugha, msamiati na hata utumishi wa misemo na methali. Mitindo tofauti ya ubunifu iliyotumiwa itawezesha mwanafunzi kuelewa mengi.

ISBN: 9780996671750 SKU: 2010143000774