Dhifa By E.Kezilahabi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Dhifa By E.Kezilahabi Details


Dhifa ni diwani ya mashairi yenye sauti kali na inayoacha mwangwi mkuu kwenye sikio la msomaji. Ni diwani inayofichua uchafu na taksiri zilizojaa katika maisha ya watawala na viongozi ambao wametiwa shemere na ulafi kwenye dhifa ya kuyamega mataifa yao kwa uroho huku raia wakiendelea kuteseka, na hata kuhongera ulaji huo. Ni sauti ya tashtiti inayozipekecha hisia za ndaniza msomaji. Sauti inayomchocheakuitazamajamiiyake na kuyatazama maisha yake kwa jicho la ndani. Hii ni diwani inayotumia ucheshi, sauti na tashtiti kuuwasilisha ujumbe kwa raia wa nchi zetu katika enzi hii ya utandawazi.

ISBN: 9789966773340 SKU: 2010143000471