Kurunzi ya Marejeleo Halahala Kiswahili 6 By Mdawida
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaKurunzi ya Marejeleo Halahala Kiswahili 6 By Mdawida Details
Kurunzi ya Marejeleo Halahala Kiswahili 6 kimeandaliwa maalum ili kimsaidie zaidi mwanafunzi wa Darasa la 6 katika mazoezi na marudio ya Silabasi ya Darasa la 6 na kumpatia taswira kamili ya jinsi mtihani wa KCPE huandaliwa. Ni silaha muhimu kwa mwalimu anayehitaji maswali tofauti tofauti yanayoweza kutumika kwa mazoezi ya darasani, mitihani ya mwisho wa mihula na mitihani ya majaribio ya Kiswahili.
ISBN: 9966002103 SKU: 2010127000412