Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 By Waititu

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 By Waititu Details


Kiswahili Fasaha ni kitabu kinachoakisi mtazamo teule wa kujifunza lugha ya Kiswahili kulingana na mahitaji ya wanafunzi wa shule za sekondari na kuwiana na silabasi mpya. Kitabu hiki kinajenga na kuimarisha msingi thabiti wa stadi zote za lugha ya Kiswahiti, matumizi ya lugha, fasihi, ufasaha wa lugha na utunzi ili kumtayarisha mwanafunzi kimapana na kikamilifu awe mwanafunzi fasaha na mweledi. Kiswahili Fasaha, Kidato cha Pili, ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne. Kitabu hiki kinaambatana na Mwongozo wa Mwalimu.

ISBN: 195729420 SKU: 2010127000341