Kielekezi Cha Marudio ya Kiswahili 7 By Doris W. N
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaKielekezi Cha Marudio ya Kiswahili 7 By Doris W. N Details
- Kimezingatia kiKamilifu silabasi ya Kiswahili ya darasa la saba kama inavyoelezwa na Taasisi ya Ehmu ya Kenya.
- Yaliyomo yamegawanywa katika sura saba. Sarufi, Msamiati, Kusikiliza na Kuongeo, Kuandika (Insha), Mitungo, Ufahamu, Majaribu
- Kimetumia lugha nyepesi lakini pevu inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi