Marafiki wa Pela By Nyambura Mpesha

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Marafiki wa Pela By Nyambura Mpesha Details


Pela anawapenda wanyama. Siku moja mvua kubwa inanyesha na kuangusha mti mkubwa nje ya nyumba yao. Asubuhi Pela anatengeneza nyumba kutokana na matawi na majani ya mti huu na kuwaalika marafiki wake—Ndege, Kuku, Paka na Mbwa. Asichojua ni kuwa hawa marafiki hawawezi kukaa pamoja, jambo linalomhuzunisha sana.

ISBN: 9966472088 SKU: 2010143000167