Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5 By E. Andati,

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5 By E. Andati, Details


KIELEKEZI CHA MARUDIO YA KISWAHILI GREDI YA 5 KIELEKEZI cha marudio ya Kiswahili Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa mfumo mpya wa elimu ya umilisi. Kitabu hiki:
- Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha (Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, kuandika na Sarufi). 
- Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka. 
- kimeshughulikia Masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira na teknolojia. - Kina Mazoezi muhimu ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio. 
- Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura. 
- Kina karatasi sita za Majaribio ya mitihani. 
- Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Aidha, wanaelewa mfumo wa umilisi kwa jumla.

ISBN: 9789966012487 SKU: BK00000002177