Mwalimu wa Insha (Madarasa 6,7 & 8) By Katumo, a href=

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Mwalimu wa Insha (Madarasa 6,7 & 8) By Katumo, a href= Details


Mwalimu wa Insha ni kitabu ambacho kimelenga kumsaidia mwanafunzi anayediandaa kwa ajili ya mtihani wa shule ya msingi kujiandaa vizuri. Kitabu hiki kimeshughulikia masuala ya msingi katika fani ya uandishi kuanzia hatua ya kwanza kabisa ya hati, hadi kwenye kubainisha matatizo wanayokabiliana nayo wanafunzi katika uandishi wa insha za mitihani.

ISBN: 9789966773524 SKU: 2010127000484