Ndoto ya Almasi By ken Walibora
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaNdoto ya Almasi By ken Walibora Details
Ndoto ya Almasi ni riwaya inayochangamsha na kuelimisha. Inaathiri hisi za ucheshi na huzuni.Itamchemsha msomaji...naam, na kumliza pia. Kwa kusoma, msomaji atagundua kwamba riwaya hii haihusu hatima ya ndoto ya Almasi tu bali inahusu ndoto za watu wengi wanoishi katika nchi nyingi zinazoendelea.
ISBN: 996634232x SKU: 2010143000142