Upande Mwingine By Ken Walibora

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Upande Mwingine By Ken Walibora Details


Hivi ndivyo Kimako alivyojipata katika njia panda baada ya miaka hamsini; aukabili ulimwengu wa utoto wake uliogeuka au arudi uhamishoni kusikomweka? Upande Mwingine ni hadithi iligoandikwa kwa lugha ya aina yake. Akiwa amejumuisha vipengee vingi vya mwanadamu katika mwavuli mpana wa mabadiliko, mwandishi amethibitisha tena pahali pake katika safu ya waandishi bora wa Kiswahili.

ISBN: 9780195735574 SKU: 2010143000560