Kiswahili Sanifu Darasa la 6 By Bakhressa

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kiswahili Sanifu Darasa la 6 By Bakhressa Details


Kiswahili Sanifu (toleo jipya) ni kozi inayotokana na utafiti wa kina kuhusu mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi katika kujifunza lugha ya Kiswahili. Kozi hii itawawezesha wanafunzi kuinua viwango vyao vya msamiati. Pia itawapa fursa ya kupata na kutumia katika maisha yao maarifa mbalimbali watakayojifunza. Isitoshe, kozi hii itawapa nafasi ya kusoma kwa matengo anuwai na kujieleza kikamilifu wakitumia lugha ya Kiswahili sanifu.

ISBN: 195730305 SKU: 2010127000286