Kamusi ya Karne ya 21 By EMAC BAKITA

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kamusi ya Karne ya 21 By EMAC BAKITA Details


Kamusi inayoakisi Maendeleo na Masuala Ibuka ya lugha ya Kiswahili

Vidahizo vipatavyo 42,000.

    • Uanishaji wa ngeli,mifano na matumizi.
    • Usarufi wa maneno kupitia vitengo na kategoria zake.
    • Virejeleo vya taaluma za Kemia, Fizikia,Hisabati,Biologia na Jiografia.
    • Michoro kabambe ya kuvutia,yenye maelezo,uwazi na usahili.
    • Matumizi ya methali, maana za misemo,nahau na tashbihi.
    • Ubainisho wa rangi,miti,matunda,mawingu,sayari,mataifa na utaifa.
    • Mwainisho wa visawe,vitawe,vitate,viumbe na vikembe vyao.
    • Kamusi yenye uketo zaidi kuwahi kuchapishwa duniani.
ISBN: 9789987020973 SKU: 2010127000480