Kamusi ya Watoto umri 6-9 By Islam K. Islam

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kamusi ya Watoto umri 6-9 By Islam K. Islam Details


Msingi bora wa maneno kwa watoto wadogo. Kamusi ya kuaminika ya kuanzia kujifunza lugha ya Kiswahili.Maneno muhimu 1700 na zaidi ya Kiswahili. Maelezo wazi ya maneno Mifano ya namna maneno yanavyotumiwa katika sentensi. 
Zaidi ya picha 700 za rangi kumsaidia mtoto kuelewa maana za maneno Sehemu maalumu ya mchezo wa lugha na mazoezi

ISBN: 9780195737219 SKU: 2010127000491