Vituko vya Panya: Panya mjanja mtegoni By Yahya Mutuku
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaVituko vya Panya: Panya mjanja mtegoni By Yahya Mutuku Details
Panya Mjanja Mtegoni ni kitabu kidato cha tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?"
ISBN: 9789966788689 SKU: 2010143000705