Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa By Kola
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaJinsi Chui Alivyopata Madoadoa By Kola Details
Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki
kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza,
toka lugha, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote.
Jinsi Chui Alivyopata Madoadoa ni mkusanyiko wa hadithi fupi. Katika hadithi hizi,
tunasimuliwa juu ya asili ya matukio fulani fulani na yale yaliyotendeka kuyafanya yawe yalivyo leo.
Kitabu hiki kimenuiwa kusomwa na wanafunzi wa Darasa la Tatu, la Nne na la Tano.