Walenisi By Mkangi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Walenisi By Mkangi Details


Walenisi ni riwaya inayomswairi Dzombo katika siku zake za hukumu. Dzombo anahukimiwa kifo kwa sababu ya hatia bandia. Anang'oa nanga katika Sayari, chombo kinachopaswa kumwua kwa ghafla. Hata hivyo, badala ya kummmaliza, chombo kinamwepusha na hukumu hiyo, na hatimaye kumpeleka katika ulimwengu tofauti na autokao. Anayoyaona huko ni ya kushangaza lakini yenye matumaini. Je Dzombo atarejea kwao? Na akirudi atakuwaje?  

ISBN: 9966467165 SKU: 2010143000163