Fani ya Fasihi Simulizi kwa shule za Upili By As

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Fani ya Fasihi Simulizi kwa shule za Upili By As Details


Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi. Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina. Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa. Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi.

ISBN: 9780195736540 SKU: 2010127000479