Darubini ya Kiswahili Kidato 2 By Kagwa

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Darubini ya Kiswahili Kidato 2 By Kagwa Details


Darubini ya Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vinavyofuatilia kwa makini silabasi mpya ya shule za sekondari. Vitabu hivi vina sifa kama zifuatazo:   Vifungu vya ufahamu vyenye mafunzo tele, maswala ibuka, mawazo mazito na kiwango cha juu cha lugha.   Isimu jamii - Mifano kabambe ya miktadha tofauti.  Maelezo bayana ya aina zote za fasihi - simulizi na andishi. Maelezo mapana na mifano maridhawa ya vipengele vyote vya sarufi.   Nyanja zote za kusoma pamoja na mifano halisi ya usomaji wa makala ya    magazeti kutoka eneo zima la Afrika Mashariki.  Maelezo ya kina pamoja na mifano ya aina zote za uandishi.   Mazoezi yanayofuatia kila mada, yatakayomsaidia msomaji kuelewa  kikamilifu.   Uwasilishaji wa hatua kwa hatua utakaomwezesha msomaji kuelewa yaliyomo  bila kutatanika.   Mwongozo wa Mwalimu wenye maelezo na ufafanuzi wa jinsi ya kufunza mada mbalimbali zilizomo, pamoja na majibu ya mazoezi.    ISBN: 9966471480 SKU: 2010127000368