Hekaya za Nyanya By Adino Blessings
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaHekaya za Nyanya By Adino Blessings Details
Katika hiki kitabu cha hekaya za nyanya, mna hadithi fupi fupi ambazo zitaangazia wanafunzi mengi kuhusu Iugha ya Kiswahili. Hiki kitabu kimetungwa kusaidia mwanafunzi kujifunza kiswahili katika hali ya kujiburudisha. Kuna mengi ya kujifunza toka lugha, msamiati na hata utumishi wa misemo na methali. Mitindo tofauti ya ubunifu iliyotumiwa itawezesha mwanafunzi kuelewa mengi.
ISBN: 9966727248365 SKU: 2010141002044