Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine By Iribemwangi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine By Iribemwangi Details


Alidhani Kapata na hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoshughulikia maswala mbalimbali yanayoziathiri jamii zeta, hususan maswala ibuka kama vile: ufisadi, ukimwi, uhifadhi wa mazingira, unyumba na kadhalika. Aidha, hadithi hizi zimeandikwa na waandishi wenye tajriba tofauti za kimaisha - kuna wale ambao wana tajriba kubwa ki-umri na ki-uandishi, na pia kuna vijana ambao wanaandika kwa mara yao ya kwanza. Pamoja na hayo, diwani hii imejumuisha waandishi wa kiume na wa kike, iimuradi kuzipa jinsia zote nafasi ya kujieieza na kusikika. Ni hadithi ambazo zitasisimua na kuchochea hisia za masikitiko; zitasuta udhaifu wa kibinadamu na pia kutoa mwelekeo ufaao.   

ISBN: 2010127000354 SKU: 2010127000354