Kielekezi cha KCPE Kiswahili By Njenga

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kielekezi cha KCPE Kiswahili By Njenga Details


Kimezingatia kikamilifu silabasi nzima ya Kiswahili inavyoelel<ezwa na Taasisi ya Elimu ya Kenya.  Kimepangwa katika sura tisa ifuatavyo: Sarufl sehemu ya Kwanza, Sarufi sehemu ya Pill, Msamiati sehemu ya  Kwanza, Msamiati sehemu ya Pili, Kusikiliza no Kuongea, Mitungo, Ufahamu, Kuandika (Insha), Majaribio ya KCPE.  Kimefanyiwa utafiti wa kina na kutumia lugha nyepesi na pevu inayosahilisha uelewekaji wa dhana.  Fahamu zote zimezingatia masuala ibuka Kama vile Ufisadi, Haki za watoto, Utunzaji wa Mazingira, Uongozi  bora, Uhalifu na athari na adhabu zake na Teknolojia.  Kina michoro mbalimbali inayofafanua yaliyoelezwa.  Kinaonyesha, katika mabano, ngeli ya kila jina katika msamiati mbalimbali.  Kina angalau methali tano teule baada ya kila mada ya misamiati. Wingi wa baadhi ya msamiati tata  

ISBN: 9789966059048 SKU: 2010127000558