Musa na Mildred By Barbara Kimenye

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Musa na Mildred By Barbara Kimenye Details


Musa anatarajia mambo yamwendee vyema muhula huu, kinyume no masaibu yaliyotawala muhula wa kwanza katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Ana matumaini ya kumwonesha rafiki yoke, King Kong, kipenzi choke, Mildred. Hata hivyo, mambo yanaanza vibaya no kutumbukia nyongo. Kwanza, kuna mvutana mgeni, Magara, ambaye ni dhatirnu. Kisha, King Kong anabwagwa kwenye kinyang'anyiro cha kiranja wa bweni. Halafu, Mildred anatoweka Musa no Mildred ni kitabu cha pill katika msururu wa Visa no Vituko vya Musa, vilivyoandikwa no Barbara Kimenue. 

ISBN: 9780195738100 SKU: 2010141002198