Ningekuwa na Uwezo By Mkangi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Ningekuwa na Uwezo By Mkangi Details


Haya ni baadhi ya maswali yanayowakereketa wananchi na viongozi wa Afrika leo. Mwandishi wa Ningekuzva na Uwezo anayapigia darubini maswali haya na mengine na kutusawiria namna Mwafrika asiyejiamini, asiyejijua wala kujithamini, anavyoweza kutapatapa kwenye "bara la giza". Je, awachwe katika hali hiyo au ashauriwe, aamshwe, na aonyeshwe kuwa anao uwezo wa kujimudu? Na yule atakayefanya hivyo yuko wapi? Je, uwezo huo anao? 

ISBN: 9780195734751 SKU: 2010143000592