Insha Faridi Dira Kamili Shule za Msingi By Jeffrey M

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Insha Faridi Dira Kamili Shule za Msingi By Jeffrey M Details


INSHA FAR1DI:

Dira Kamili ni kitabu ambacho bila shaka kitamfaa na kuyakifu matakwa yote ya mwanafunzi aliye na tamaa ya kujiimarisha na kujistawisha katika uandishi wa insha. Kitabu hiki kimechanganua na kupigia darubini matatizo yote yanayowakabili wanafunzi wanapoandika insha. Licha ya hayo, mwandishi ameshughulikia barabara aina zote za insha nyeti mathalani: Fauka ya maelezo kabambe ya jinsi insha zinavyoandikwa, kwa kila aina, mifano kadhaa imecharazwa kwa lugha ya kusisimua, kuvutia na kuburudisha tosha. Katika kuandika insha hizi, mwandishi amezingatia kwa kina na kuyapa kipaumbele maswala ibuka kama vile, ukimwi, haki za watoto, maadili, dawa za kulevya, teknolojia ya kisasa, viongozi, uongozi na utawala na mengi mengineyo. Vilevile, kuna maelezo kamilifu ya jinsi mitungo inavyosahihishwa katika kiwango cha K.C.P.E. pamoja na insha kadhaa zilizotumika kama mifano.

ISBN: 9966011048 SKU: 2010127000387